Posts

Showing posts from February, 2019

KWA HAKIKA HATUKUSTAHILI NI NEEMA TU last

Image

KWA HAKIKA HATUKUSTAHILI NI NEEMA TU ep 1

Image

JE UNAJUA NINI CHA KUFANYA JUU YA MADHABAHU YA GIZA

Image
JE UNAJUA NINI CHA KUFANYE JUU YA MADHABAHU YA GIZA? Bwana YESU atukuzwe ndugu yangu. Karibu tujifunze Neno la MUNGU. Kuna aina mbili za madhabahu. Kuna madhabahu ya MUNGU na kuna madhabahu ya shetani. Madhabahu ni katikati ya ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili. Madhabahuni ni mahali ambapo vitu kutoka ulimwengu wa roho vinapitia kabla ya kuja katika ulimwengu wa mwili. Madhabahu ya ki MUNGU hupitisha Neno la MUNGU na mambo ya ki MUNGU yote. Madhabahu ya shetani ndio kiwanda cha kuleta matatizo katika maisha yako. Madhabahu ya kishetani ambayo ndio madhabahu ya giza huleta laana, magonjwa, vifungo, mikosi, balaa na kila maroho ya kuzimu. Ukitaka kuyashinda kila mashambulizi yanayotoka kwa mawakala wa shetani kuja kwako basi usisahau kuomba maombi ya kuvunja na kubomoa madhabahu za giza zinazotengeneza mabaya kuja kwako. Sasa kwa sababu kuna aina mbili za madhabahu niko hapa Leo kukuonya kwamba usihusike kivyovyote na madhabahu ya shetani. Kumbu...

WHY DON'T WE FIND HAPINESS IN LIFE ALONG WITH WHAT WE EARN?

Image
Inorder to understand what I want to explain to you let me use an example of Michael Jackson so that you may get what I am talking about let's go together Michael Jackson wanted to live for 150 years. He appointed 12 doctors at home who would daily examine him from hair to toenails. His food was always tested in laboratory before serving. Another 15 people were appointed to look after his daily exercise and workout. His bed had the technology to regulate the oxygen level. Organ donors were kept ready so that whenever needed they could immediately donate their organ . The maintenance of these donors were taken care of by him. He was proceeding with a dream of living for 150 years. Alas ! He failed. On 25th June 2009, at the age of 50, his heart stopped functioning. The constant effort of those 12 doctors didn't work. Even, the combined efforts of doctors from Los Angeles and California too couldn't save him. The person who would never put a step forward with...

KIZAZI CHA WAKRISTO VIJANA

Image
KIZAZI CHA WAKRISTO VIJANA: 1.Daima tuko sawa na hatukubali kabisa kuonywa, kukemewa na kukaripiwa. Atuonyaye, kutukemea na kutukaripia anasomeka kama adui wa kumwepuka kwa gharama zote tena akizidi kutufuata fuata tunamwambia achana na maisha yangu, hayo ni yangu hayakuhusu wewe. 2. Tunapenda kuimba kanisani lakini hatusomi bibilia zetu nyumbani wala kuomba. 3. Tumejaa tamaa, hamu ya kufanya ngono na hisia ambazo sisi tunaziita upendo au mapenzi. 4. Tunataka tuwe na ndoa bora, lakini tunapokuwa tumefika umri wa miaka 25 tunakuwa tulishakuwa ndani ya mahusiano ya kimapenzi kwa miaka kumi tayari. Wakati mwingine tumeshakuwa na wapenzi wa kike na wa kiume hata kuliko wazazi wetu. 5. Ngono na matendo machafu ya kingono sasa ni sehemu ya mahusiano yetu na tunaiita Mahaba/Mapenzi. 6. Tunataka kuwa matajiri maishani, wakati huo huo tunatumia fedha zetu zote kununua simu za kisasa kama iphone, samsung galaxy, htc, Blackberry, vifaa vya mawasiliano vingine kama ipad, tablets, l...

HISTORIA YAKO ISIKUHUKUMU.

Image
HISTORIA YAKO ISIKUHUKUMU. "  Ilikuwa ni mida ya saa moja usiku, ninajiandaa kwenda Kwenye harusi. Nikapigiwa simu kwamba hakuna harusi, kwa sababu jana bwana harusi alipata cv ya mchumba wake, akathibitisha kuwa yule mchumba hakuwa na historia nzuri. Ni wengi wamekataliwa sababu za historia zao. Jana pia nilipokea simu inayotaka nithibitishe historia ya kijana niliyefanya nae kazi miaka 8 iliyopita. Wakaniambia ameandika alifanya hapo kazi, tafadhali tuambie iwapo ni mtu mwema, ili tumthibitishe kazini. Hii ina maana mbili, kwamba wapo wanaokubalika kwa sababu ya historia na wapo wanaokataliwa kwa sababu ya historia. Leo nataka niongee na wewe uliyekataliwa kwa sababu ya historia. Mtume Paulo alikuwa ni muuaji, lakini Mungu akambadilisha kuwa ni  mtumishi wake. Gideon alikuwa muoga aliyekosa ujasiri lakini Mungu  alimbadilisha kuwa jasiri. Moses alikuwa muuaji lakini Mungu alimbadilisha kuwa kiongozi, Yusufu alikuwa mtumwa, lakini Mungu alimbadilisha kuwa kiongoz...

NAMNA YA KUPATA MAJIBU YA NDOTO/MAONO

Image
1. Mara tu, baada ya maono au ndoto kuisha, muda ule ule, unapaswa kutulia kimya na kutafakairi kwa muda, na hapo ndipo roho wa Mungu anapoweza kutupa maelezo ya maono/ndoto hiyo (Matendo 10:9-20). Izingatiwe kuwa si lazima Mungu afanye hivyo kwa muda huo, hivyo endapo hatafanya hivyo, ni vema sasa ufuate hatua ya pili ambayo ni hii ifuatayo. 2. Kumwomba Mungu tafsiri moja kwa moja. Baada ya kutulia kwa muda,kama hujapata tafsiri, tunapaswa kumwomba Mungu mwenyewe atafsiri (Daniel 2:16-19). Na endapo hatujapata majibu bado, tunapaswa kulala na hata kuisahau ndoto hiyo,hapo Mungu huweza kukuletea ndoto ile ile tena huku akiifafanua kwa namna flani. Anaweza kuleta moja au hata zaidi. Tunapaswa kuwa na subira pia (Mwanzo 41:17-23) kwani pengine, anawezaa kukukumbusha juu ya matukio utakayo yaona katika maisha yako siku zitakazofuata. (Waamuzi 7:7-15) 3. Kuuliza Katika Maono au Ndoto. Hatua hii, hutumika mara unapokuwa unapewa maono moja kwa moja kutoka kwa wale watu au viumbe...

UJASIRI WA KUMJUA YESU last episode

Image

UJASIRI WA KUMJUA YESU ep 1

Image

UZINZI NI MAAGANO

Image
Unajua kwamba kila unapozini na mwanaume/mwanamke yyte nafsi ya huyo mtu hubaki kwako na baadhi ya mapepo huingia kwako, Hii mara nyingi itakuletea tabu sana kwenye ndoa, sababu itakua mwenza wako akiwa mbali unammic lkn mkionana tu jambo dogo tu amani haipo ni ugomvi kwenda mbele, Sio kwamba hakupendi ni hizo nafsi ndio zinagombana ndani yenu kila nafsi inahisi imedhurumiwa mke/mume so zitaanza kupigana, na  kupigana kwa hizo nafsi ndani yenu matokeo yake ni ugomvi wenu ninyi wawili, Hapo mtasuruhishwa mtaombewa ,mnatulia siku mbili tu ya3 moto uleule, labda mkutane na Nabii wa MUNGU alione hilo awaambie namna ya kujinasua hapo , Sasa jiulize we mwenyewe umezini na wangapi  na mara ngapi? Shetani uwa hapendi watu wa Mungu wajue siri zake... Maana atakosa wafuasi...... Na ukiijua kweli kweli itakuweka huru.... Maana Mungu Alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa kama haya ya sexual transmitted demons

UPENDO HUTAMBUA NA KUHESHIMU WENGINE

Image
Huku kwetu leo tuna neema ya mvua mvua kidogo, lkn nilipokuwa nikitafakari maneno ya Mungu asubuhi hii ktk kitabu Cha Rumi 12:9-10. Nikaona kitu muhimu cha kukushirikisha nacho ni :- (UPENDO HUTAMBUA NA KUHESHIMU WENGINE) "Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkiambatana na lililo jema. Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;" Warumi 12:9-10 Kuna msemo huu nisiokumbuka ni wa nani "Before you preach the word know the world" yaani kabla ya kuhubiri neno ujue/utambue/ufahamu ulimwengu, Na hii ni tabia ya upendo kutambua na kuheshimu wengine, Hujaumbwa peke yako na wala wewe na mimi sio kisiwa bali tupo pamoja na watu mbalimbali wanaokubaliana na wasiokubaliana na tunachoamini. Wenye tabia tofauti na sisi, mitazamo tofauti iwe sahihi au isiwe sahihi, Kuna wakati wanafunzi wa Yesu walikutana na watu wengine (wanafunzi) wakihubiri injili wanayohubiri na wakawakataza, Moja hawakuwatambua lakini mbili hawa...

Bible passage describing burning of Jerusalem is historically accurate, find archaeologists

Image
  New evidence has emerged that shows a passage of the Bible is historically accurate. Archaeologists excavating the City of David in Jerusalem found a range of burnt artefacts dating back 2,600 years. The discovery confirms the reference to the burning of Jerusalem and the capture of the city in the Bible. The archaeologists from the Israel Antiquities Authority found burnt bones, grape seeds, wood and pottery – all of which were covered in layers of ash, IFLscience reported. Dr Joe Uziel, who led the excavation, said many of the items had stamped handles and rosette seals which allowed the researchers to accurately date them. "These seals are characteristic of the end of the First Temple Period," he explained in a video from the Israel Antiquities Authority. They were used for the administrative system that developed towards the end of the Judean dynasty. The Bible refers to the fire in the Book of Jeremiah, where it says: "Now on th...

Inspirational Bible Verses

Image
Inspirational Bible Verses - Read inspirational quotes and Scripture from the Bible that can help encourage your spirit as you in times of doubt, loss, mourning, sadness, or hopelessness. The Holy Bible has many passages that can uplift your mind and heart, giving you the strength you need to get through each day. 2 Timothy 3:16 tells us that ALL Scripture is inspired by God and useful for teaching, rebuking, correcting, and training in righteousness. The Bible is a work of God that was written by human men that were inspired by God. What better source of inspiration than our Creator! Whether you are looking for motivation, encouragement, reassurance, or peace, the Bible should be the first resource you turn to! Below is a collection of inspirational Bible verses can lead you into a deeper understanding of who God is and what His plan is for your life. He wants to "prosper you and not to harm you, to give hope and a future" (Jeremiah 29:11) You can a...

GET IN TOUCH WITH US FOR OPINIONS AND ADVICES

Image
  Contact us for giving out opinions,advice and other issues, we hope as a reader you can find out some mistakes, some parts needs changes please tellus by contacting via the ways provided below Mobile: +255 756 717 689 E mail: makubimsafiri@gmail.com