UZINZI NI MAAGANO
Hii mara nyingi itakuletea tabu sana kwenye ndoa, sababu itakua mwenza wako akiwa mbali unammic lkn mkionana tu jambo dogo tu amani haipo ni ugomvi kwenda mbele,
Sio kwamba hakupendi ni hizo nafsi ndio zinagombana ndani yenu kila nafsi inahisi imedhurumiwa mke/mume so zitaanza kupigana, na kupigana kwa hizo nafsi ndani yenu matokeo yake ni ugomvi wenu ninyi wawili,
Hapo mtasuruhishwa mtaombewa ,mnatulia siku mbili tu ya3 moto uleule, labda mkutane na Nabii wa MUNGU alione hilo awaambie namna ya kujinasua hapo , Sasa jiulize we mwenyewe umezini na wangapi na mara ngapi?
Shetani uwa hapendi watu wa Mungu wajue siri zake... Maana atakosa wafuasi...... Na ukiijua kweli kweli itakuweka huru.... Maana Mungu Alisema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa kama haya ya sexual transmitted demons
Nimekuewa ahsante kwa fundisho zuli
ReplyDeleteHayo ni maanagano ambayo kwayo maisha yanaharibika na kupoteza muelekeo.
ReplyDelete