NINI MAANA YA NAFSI, ROHO, MOYO NA MWILI.?

NINI MAANA YA NAFSI, ROHO, MOYO NA MWILI.?

 1. ROHO
Neno  “ roho ” asili yake ni  katika lugha ya Kiyunani likiitwa “
Pneuma” ambalo maana yake kwa kiswahili ni  “ pumzi” .
 Pumzi ya namna hii ni pumzi iletayo uzima yaani mtu anakuwa hai.
Bila roho hakuna mtu anaweza kuwa hai

2. NAFSI
 Neno “ nafsi ”  ni sehemu ya mwanadamu inayohifadhi  akili na hisia.
Hivyo kusema nafsi ya mwanadamu ni sawa na kusema akili,ufahamu na hisia zinakokaa.

3. MOYO
Moyo ni sehemu ya kiroho ya mwanadamu  ambako hisia za mwanadamu  na matamanio ya mwanadamu hukaa.

4.MWILI
Mwili ni gamba la nje linaloibeba roho
Kwa lugha nyingine mwili ni nyumba ya kuishi roho.

N.b
Katika baadhi ya maandiko kwenye Biblia yanazungumza moyo yakiwa na maana ya nafsi na pengine yanazungumza nafsi yakiwa na maana pia ya moyo wa Mtu.
Kwa sababu nafsi na moyo ni kama kitu kimoja.

MUNGU akubariki.
Mt Daudi Makubi
Mtenda Kazi katika Shamba la Bwana YESU KRISTO Mwokozi.
makubimsafiri@gmail.com
+255788717689

Comments

Popular posts from this blog

USHUHUDA WA ALIEKUWA WAKALA WA SHETANI

BWANA YU PAMOJA NAWE EE SHUJAA