USIFADHAIKE MOYONI MWAKO

USIFADHAIKE MOYONI MWAKO;
Hata Kama Kuna Mapito Magumu Maishani Mwako
Hata Kama Huoni Mlango Wa Kutokea
Hata Kama Huoni Faida Ktk Kazi Yako unayofanya
Hata Kama Unaona Maadui Wanazidi Kuwa Wengi Maishani mwako
Hata Kama Hauupata Mkate Wa Kila Siku
Hata Kama Kuna Udhaifu Ktk Mwili wako
Hata Kama Kuna Changamoto Ktk Familia yako,

Kumbuka Yesu Kristo Alisema Yote Yamekwisha kwa Kupigwa Kwake Sisi Tumepona Ametupumzisha Mizigo Yetu katika Kila Jambo Tunashinda Na Zaidi Ya Kushinda Ktk Yeye Aliyetupenda upeo ktk Kila Jambo Tulitendalo Tutafanikiwa na kushinda. 
JIPE MOYO MPENDWA WANGU SAFARI BADO INASONGA NAWE U-MSHINDI.
By Mt D. Makubi

Comments

Popular posts from this blog

NINI MAANA YA NAFSI, ROHO, MOYO NA MWILI.?

USHUHUDA WA ALIEKUWA WAKALA WA SHETANI

BWANA YU PAMOJA NAWE EE SHUJAA