ILI UFIKIE KILELE CHA NDOTO ZAKO NI LAZIMA MANENO HAYA MANNE YASITOKE KINYWANI MWAKO.

Bado tunamuangalia Dr. Myles Munroe kama model wetu siku ukitaka kupata hatua ya jambo lolote jifunze kwa walio fanikiwa sio ushamba wala ujinga ila ndivyo maisha yalivyo kupitia wao tunapata aidia Mpya au mawazo mapya.
1. Usiangalie udhaifu wako bali angalia pale una NGUVU.
Kila mtu aliyezaliwa na mwanamke ana madhaifu, Tofauti ni huwa kwenye namna ya kudeal na madhaifu aliyo nayo.
Tabia kuu ya watu wanaofanikiwa ni kwanza kuyakubali madhaifu yao na baada ya hapo ni kutojisumbua kupoteza muda na nguvu kwenye madhaifu yao kwani wanajua kuwa ili uitwe binadamu ni lazima uwe na madhaifu kwenye maeneo fulani fulani na sio dhambi kuwa na madhaifu hayo maana huko ndio kuukamilisha ubinadamu,
Na wanatambua kuwa kupambana na madhaifu yao ni kupoteza nguvu za kupambana kuhusu Ndoto zao, Kubali Madhaifu yako na Wekeza nguvu nyingi kwenye STRENGTH zako.
Kitu cha msingi unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha madhaifu yako isiwe sababu ya kukurudisha nyuma kwenye ndoto zako, Ukiona madhaifu yako yamekuwa too negative basi tafuta namna ya kuyafanya yasikupe madhara makubwa kwenye maisha yako.
"WATU WALIOFANIKIWA WANAWEKEZA NGUVU ZAO KWENYE STRENGTH ZAO NA KUHAKIKISHA MADHAIFU YAO HAYALETI MADHARA KWENYE MAISHA YAO"
2. Usiwaangalie wengine, jiangalie kwanza wewe.
Usihangaike na maisha ya watu wengine, Usifuatilie maisha ya watu wengine, Usitake kujua sana kuhusu maisha ya watu wengine, kwani wakati wa kuwaangalia ukifika hawatakuwa kikwazo kwako ila unapotafuta njia please look at yourself "WEKEZA NGUVU ZAKO KWENYE MAISHA YAKO MWENYEWE"
Watu wengi wanapoteza nguvu nyingi na muda mwingi kufuatailia maisha ya watu wengine kuliko maisha yao binafsi, Acha Kupoteza Muda kwa kufuatilia maisha ya watu, FUATAILIA MAISHA YAKO KWA UNDANI, Acha kuchunguza maisha ya wengine, JICHUNGUZE WEWE KWANZA, Usikubali kuwajua watu wengine kuliko unavojijua wewe!!
Watu waliofanikiwa kila wakati wapo bize na maisha yao wenyewe na hawapotezi muda kuhangaika na maisha ya watu wengine, "UNGANA NA WASHINDI KWA KUWEKEZA MUDA NA NGUVU KWA AJILI YA MAISHA YAKO MWENYEWE"
3. Usiangalie mashindano na watu bali angalia mipango yako na namna ya kuwekeza.
Maisha ni siyo mashindano baina ya mtu na watu, Bali ni mashindano baina yako wewe mwenyewe, hivyo hutakiwi kupoteza muda kufanya mashindano na watu wengine.
Dr. Myles Munroe enzi za Uhai wake alikuwa anapenda kusema "Success is not measured by what you have done compared to what others have done, But it is measured by what was supposed to be done compared by what you have done "Akimaanisha kuwa Mafanikio hayapimwi kwa kulinganisha kile ambacho wewe umefanya na wengine walichofanya, Bali yanapimwa kwa kile ambacho ulitakiwa kukifanya na kile ambacho umekifanya" HIVYO BASI KWA MANENO HAYO HUTAKIWI KUPOTEZA MUDA KUSHINDANA NA MTU BALI SHINDANA NA NDOTO YAKO NA UISHINDE!!
Wekeza nguvu zako kwenye hatua zako, Hakikisha unasimamia hatua zako na kuhakikisha unapiga hatua za kusonga mbele kuelekea ndoto yako, Work Hard, Jitume, Kesha usiku na mchana kwa ajili ya ndoto yako.
4. Usiangalie vitu ambavyo hauvihitaji bali vile tu ambavyo unavyovihitaji.
Watu wanaofanikiwa ni wale ambao wanawekeza muda wao na mawazo yao na nguvu zao kwenye vitu wanavovihitaji na siyo vitu wasivyovihitaji, Ukiona unataka mafanikio na unawaza umasikini basi jua wewe ndo mchawi wa maisha yako.
Subconscious Mind huwa inakusaidia kupata kile ambacho unakiwaza muda mwingi na kukitafakari muda mwingi akilini mwako, Hivyo kama unataka mafanikio na unawaza kushindwa basi jua kule kushindwa ambako ndo kumejaa akilini mwako basi ndiko kutakakotokea yaani utashindwa.
Ili kujiweka kwenye kundi la washindi inatakiwa uwe unawaza na kutafakari kitu unachokitaka kiasi kwamba ukilala usiku unaota hicho hicho tu, Hivi ushawahi lala usiku na ukaota ndoto kuwa ndoto yako imetimia na unaiishi?? Kama hujawahi basi jua kuwa bado hujawana burning desire ya kutosha kuhusu ndoto yako.
WAZA MAFANIKIO, WAZA USHINDI, WAZA UKUU, WAZA KUWA TOFAUTI NA WENGINE WANAVYOWAZA, kumbuka ndoto kubwa ina gharama kubwa hivyo pull up yourself to reach to your destiny.
Live your dream go on without look back.
Ni mimi Mt Daudi Makubi ninakutakia baraka katika utendaji na utekelezaji wa ndoto zako MUNGU akuongoze ufikie hatma yako kwa kumalisha yote MUMGU amepanga uyafanye hapa duniani.
Kwa mawasiliano
Facebook page mwinjilist e Daudi Makubi
Facebook Mt D Makubi
Instagram Mt Daudi Makubi
Twitter Mt Daudi Makubi
WhatsApp no or call us +255756717689
Email makubimsafiri@gmail.com

Comments
Post a Comment