Upendo wa MUNGU
YESU NDIO NURU YA KWELI
Tunatamani kuwafikia makundi kadhaa katika jamii mbalimbali na zenye mtazamo na utamaduni tofauti tofauti, Leo kuu ni kuwawezesha kimasomo na mahitaji, ya kila siku (daily needs) ikujumlisha chakula, mavazi, matibabu, na malazi bora ikuhusisha sana wajane, watoto wa mitaani, watoto yatima na wazee wasiojiweza, ili kuwawezesha na kuwafikia wengi zaidi Tunahitaji sana mchango wako wa kimawazo na kujitoa kwa namna moja ama nyingine, nao wasijihisi upweke au watu walisahaulika katika jamii.